Kocha Mchezaji @mshambuliaji ameshangaa kutangazwa kwa tarehe ya Derby ya Kariakoo Juni 15 huku wahusika Mamlaka inayosimamia Mpira nchini TFF na Bodi ya Ligi zikishindwa mpaka sasa kutoka hadharani na kueleza kadhia ya Machi 8 iliyosababisha mechi hiyo kushindwa kucheza.
Kocha Mchezaji anaamini Mamlaka ya mpira na Bodi ya Ligi zinapaswa kutoka hadharani na kuomba radhi kwa kadhia ya Machi 8 kabla ya kutangaza ratiba ya Mechi ya Derby Juni 15.
#KitengeUpdates
@SimbaSCTanzania The Kariakoo Derby, a major rivalry match between Simba SC and Yanga SC scheduled for June 15, 2025, has a history of disputes, with a prior cancellation in March 2025 due to Simba being denied training access at the venue, highlighting deeper organizational issues within TFF
@SimbaSCTanzania - The X post by @MahigaJorda calls for Simba SC fans to join Yanga SC in protesting alleged unfair treatment by the Tanzania Football Federation (TFF) and the Tanzania Premier League Board (TPLB), reflecting ongoing tensions after a controversial postponement of the Kariakoo Derb