Dear wafalme,
Wanawake hawapendezwi na wanaume laini & sensitive.
Sio muda wote lazima umpelekee maua na chocolate
Sio kila siku lazima uchat nae kama huna maisha mengine
Sio kila siku lazima umzingatie,
Siku nyingine mpotezee, mpuuzie, fikiria kuhusu future & Jenga maisha
Dear wafalme,
Huwa naongea na wanawake ambao tayari wanahisia na mimi,
Au wanaonesha hizo ishara.
Huwa sipendi kulazimisha mambo na wanawake wasiokuwa na mpango na mimi.
Jifunze hii,
Itakuepushia kupoteza muda, pesa na kutojishushia heshima.
Jamaa anaitwa kituo Cha polisi Chang'ombe baada ya kuambiwa kuwa Binti wa Marehemu dada yake ameiba simu ya mkononi.
Alipomtolea dhamana na kumtoa Nje aliamua kumuuliza katika mambo yote ambayo umefanya kwanini Umeiba simu .
Yule Binti akamwambia baada ya wazazi wangu kufariki 👇👇👇
Liliwahi kumuuliza Maza , mbona baba Yeye Huwa hanitumii Hela ya matumizi nikiwa shule na hakunijibu.
Siku niliporudi likizo , jioni maza alitangaza mfungo wa siku Moja bila kutuambia tutaombea kitu gani.
Siku Moja baadae Nilipomuuliza kwanini tumenga Jana . Akanijibu Baba Yako hakuwa na Hela ya Chakula ✍️.
🚨 BREAKING
🇮🇷 Iran's Army chief says Iran's nuclear technology and pursuit of nuclear capabilities cannot be eliminated through U.S. or international pressure.
verified reports also claim that if the U.S. strikes Tehran, the IRGC could test its first nuclear capability during the conflict.
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya soka ya Korea Kusini, Hong Myung-bo, amejiuzulu baada ya timu hiyo kushindwa kufuzu hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia.
Rais wa nchi hiyo, Lee Jae Myung ameagiza uchunguzi ufanyike kubaini sababu za timu hiyo kufanya vibaya, licha ya matumaini makubwa iliyokuwa nayo kwenye michuano hiyo.
Lithium demand is expected to grow 5x by 2040. EnergyX’s low-cost, validated direct lithium extraction tech is built to meet it.
35,000+ investors are already in. Learn how you can join them.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema licha ya Serikali kutumia zaidi ya shilingi bilioni 54 kujenga Stendi ya Magufuli, baadhi ya maeneo ya Jiji yameendelea kugeuzwa kuwa stendi zisizo rasmi za mabasi, hali inayochangia ongezeko la foleni na kuvuruga utaratibu wa usafiri.
Akitoa mfano wa eneo la Shekilango, Chalamila amesema baadhi ya mabasi yamekuwa yakipaki kwenye hifadhi za barabara na kuyageuza maeneo hayo kuwa stendi, jambo linalosababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Chalamila ameyasema hayo leo, Juni 29, 2026, wakati wa kikao kilichowakutanisha wadau wa sekta ya usafirishaji, Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Pwani, kilicholenga kujadili mikakati ya kudhibiti na kupunguza tatizo la foleni katika Dar es salaam.
“Ukienda Ubungo kuna Stendi ya Magufuli iliyojengwa kwa zaidi ya shilingi bilioni 54, lakini leo tumeruhusu karibu kila eneo la mkoa kuwa stendi, Watu wa Uhamiaji hawawezi kufanya kazi yao kwa ufanisi, vyombo vya dola navyo haviwezi kutekeleza majukumu yao ipasavyo na katika miji mingi iliyoendelea duniani, unaweza kupandisha abiria na kuwapeleka hadi stendi kuu, lakini huwezi kupeleka basi hadi nyumbani kwa kila abiria,”amesema Chalamila.
#MillardAyoUPDATES