@Eng_Matarra@Sativa255 Mwanafunzi aliyefaulu vizuri division 1 aende advance itamsaidia ila kama mwanafunzi kafaulu kwa kiwango cha chini division 3 huyo ni sawa kwake kwenda diploma
Possibility ya kufeli kwa mwanafunzi mwenye division one o-level ni ndogo sana