@fatma_karume Kwa kauli hii unamaanisha hata ukigundua mtoto wako wa kumzaa ni shoga utamlindia FARAGHA na hautochukua hatua yoyote kukemea vikali.Najiuliza tunaishi kwa kufuata sheria za aliyetuumba au za mashirika ya haki za binadamu.KIZAZI KINAPOTEA HIKI.
@Mwanzalimaa Nasoma comments.Watu wengi huishi kwa kuongozwa na misingi ya sheria za kiserikali ambazo mda wowote hubadilika.Misingi mizuli ya ndoa ni ya kidini au mila au Imani.Mke akiolewa huwa kahamia kwenye ukoo mzima wa mume asikilize ukoo unasemaje sio ukoo umsikilize yeye mke.
@Kabhoga_Mmakeke @jokateM Nashukuru.Pia nasikia wamatengo,wangoni,wamanda na wanyasa wamechanganyika damu sana kiasi kwamba ni ngumu kuwatenganisa ndio maana wakiwa nje ya mkoa wote wanaitwa wangoni.๐๐๐พ
@uswegemwakajila@millardayo Baada ya chanjo subiri ipite miaka michache tu kisha tutaambizana kitakachotokea Kongo tukiwa hai.Usijiweke kwenye kundi la walemavu wa akili kwamba huwezi kugundua wala kutafiti chochote ,rejea historia.