Kuna muda tuliwahitaji sana lakini mkaonesha kuto kujali.
Kuna Muda tulitamani kuwa karibu Yenu lakini mkawa busy.
Tuliamua kuachana nanyi, tukaamua kufanya mambo yetu ila leo hamna pa kwenda mnatamani kurudi kwetu🚮
Love is reciprocal, mnarudi wakati ambao hatuwapendi Tena🚮
Kuna muda tuliwahitaji sana lakini mkaonesha kuto kujali.
Kuna Muda tulitamani kuwa karibu Yenu lakini mkawa busy.
Tuliamua kuachana nanyi, tukaamua kufanya mambo yetu ila leo hamna pa kwenda mnatamani kurudi kwetu🚮
Love is reciprocal, mnarudi wakati ambao hatuwapendi Tena🚮
That apartment may not be house, but you're not homeless. That car may not be a Benz, but you're not walking. That job may not be the best, but you're working. Dear son, SOMETHING is always better than NOTHING.
As a man. I beg you to stop, telling people what you're going through. No matter how stressful it is. Please, solve your problems alone. Sympathy is only for women and kids. Not for a man.
Niuongo mtupu hapo😂😂, mnyama hawezi kutoa kits kali vile ya pre- season, halafu kits za msimu huu zikawa mbovu!! Ni mbinu tu za baadhi ya watu kutaka jambo liende mjini😂🙌🏻…
Sie tunasubiri jumatano kuziona Official Kits za Mnyama msimu huu, hizi nyingine nikelele tu!!
Nimekuta mama anaangalia video flani hivi kwenye simu, ikamuumiza sana. Akawa anaongea hadi kwa huzuni.
Kuja kuicheki video yenyewe ni mambo ya AI, yani watu wako kwenye boti eti nyangumi akawaweza wote na boti yao..
Video za AI ziko nyingi mno, zinawachanganya wazee wetu.
@DearS_o_n A woman who ignores you has already chosen.
Don’t beg, don’t chase, don’t waste your energy.
Respect yourself enough to walk away.
The right woman will bend rules, break norms, and prove her interest without you asking.
Son, move on. Protect your dignity.
@DearS_o_n Bro, listen…
Being alone hurts, but being with the wrong woman destroys.
Alone, you control your life, your energy, your growth.
With the wrong partner? She steals time, drains ambition, and clouds your vision.
Mwanamke akiendelea kubaki na wewe kipindi unapitia changamoto,
Kama mwanaume, umeshinda
Mwanamke akikukimbia kipindi unapitia changamoto,
Kama mwanaume, umeshinda
Tujifunze kukaa kimyaa si kila masikini alitaka kuwa maskini ,si kila single mama alitaka kua single,si kila alie jela aliwahi kufikiri atakuwa jela, yoote hayo yalitokea kwa sababu flan.
Ila yote kwa yote
Usioe single mama hakuna cha sababu wala sababu...
Kuna tabia inachipua mizizi kwa baadhi ya wazazi specifically wakina mama.
Kwamba, akijua mwanae ana'date na mwanaume mwenye kipato huwa like anampa Go ahead.
Hatakama ni mwanafunzi.
Wanaenda mbali kabisa kwa kumuagiza mtoto mpaka pesa ili ku push maisha.