The Zanzibar Revolutionary Government plans to address all challenges facing seaweed farmers in Pemba by building a major processing plant. Second Vice President Hemed Suleiman Abdulla inspected construction progress at the Chamanangwe plant in
Huduma ya mabasi ya umeme imeanza rasmi Zanzibar, ikiboresha usafiri wa umma kwa huduma salama, rafiki kwa mazingira na inayokabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Safari ni Malindi–Uwanja wa Ndege na Buyu.
Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuimarishwa kwa ushirikiano na mawasiliano kati ya Serikali ya Muungano na SMZ, kwa maslahi na maendeleo ya wananchi.
Ufundi wa tanga umempa Mvuvi Nassor Pandu wa Kizimkazi Mkunguni ushindi wa resi za ngalawa Tamasha la Kizimkazi, Unguja. Ameshinda Sh1. 2m, huku kijiji kikijinyakulia boti ya kisasa yenye thamani ya Sh29m.
Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira yasema miradi ya biashara ya kaboni isimamiwe vyema ili iwanufaishe wananchi, hususan wanaoishi katika maeneo yanayotekeleza miradi hiyo.
Karne ya 8, Waajemi kutoka Iran walifika Kusini Unguja wakiongozwa na Sheikh Abuumusa Alhasan bin Muhammad Maarufu Kizi. Aliishi vizuri na wenyeji na kuendeleza makazi yaliyokuja kujulikana kama Kizi Mkaazi.