@TheNairobiTimez Lakini watu wa nyanza na western hukua na ufala..lazima mtu ajenge mahali alizaliwa? Si mtu anunue shamba mahali ingine mbali na familia.sahio ni nyumba ya matope tu
@MigunaMiguna@alfredarapketer Politicians should fight their own fights,,Gen z hawatasilukiana na wanasiasa ..malizeni vita zenu na uku mnajua kenye mnapigania kama wanasiasa