Ni jumatatu ya HUBA!
Kifo cha Huba kimesabisha Ray kuwa na harakati nyingi za kutaka kujua ukweli. Unamuamini nani kati ya hawa? Usikose mwendelezo wa Huba ndani ya MaishaMagicBongo leo hadi Jumatano saa 3:00 Usiku.
Wake wa Nguzu! Warembo, wapambanaji na wenye mipango! Kila mmoja ana nafasi yake, nguvu yake na drama zake.
Ni mke gani wa Nguzu ndiye kipenzi chako? Swipe unaangalie uzuri na moto wa familia ya kifalme ya Mpali!
⏰ Siku 2 Tu! ⏰
Drama, Mapenzi, na vituko- #JIVU inakuja kwa nguvu ndani ya Maisha Magic Bongo! Usikose ni Tarehe 24 Aprili.
#JIVU I Premiere Soon I Maisha Magic Bongo
MUDA MPYA! My Name is Farah sasa kurushwa kuanzia Jumatatu hadi Alhamis saa 1:00 usiku! Usikose kufuatilia tamthilia hii kwenye maisha Magic Bongo Ch 160 #InabambaZaidi
Wakati unasubiri kwa hamu kuanza kwa kabumbu la brush na poda, Hawa hapa majaji wetu watakao simamia mtanange huo. Soma zaidi kwenye makala yetu https://t.co/3B9FjTARY6
Hakuna mwanzo lisilo na mwisho, Msimu wa kwanza wa Tamthilia ya Gharika umekwisha. Soma hapa makala yetu kuhusu tamthilia hii ya kusimumua https://t.co/eWx2DXzKcQ
Mashabiki wamepagwa! The Makeover yaja kwa kishindo maisha Magic Bongo. Soma zaidi kuhusu show ya Mashindano ya MakeUp Artist inayosubiriwa kwa hamu. #TheMakeOverMMB#MaishaMagicBongo
https://t.co/Xbh34bNJaL
Want to see your favourite nominee take home an #AMVCA? 🏆
Make it happen; vote now 👉 https://t.co/j3G32k7mfO
You have 100 votes on the website and 100 on mobile.
Voting closes on 4 May.
#AMVCA11