Leo kwenye pita pita katika mitandao yakijamii nimekutana na wasanii walio toka jela #amberruty na #davil wanangoma yao inaitwa #jela ni nzuri sana, FIKRA zangu huenda jela iliwasaidia kwa wao wawili sasa basi inabidi baadhi ya msanii kama #gigymoney aende tu jela ya kujitolea 🙏