@Adventure_36 Tangu mwaka 2019 suala la umri wa kuoa lishaamriwa na Mahakama Kuu na baadae kuthibitishwa na Mahakama ya Rufani kwenye case ya Rebeca Gyum hivyo umri wa kuoa ni miaka 18 na si vinginevyo.
@Adventure_36 Msimamo wa kisheria na ndio msimamo wangu kadri ninavyoielewa sheria ya nchi hii.
1. Awe chini ya umri wa miaka 18 (ubakaji)
2. Awe zaidi ya miaka 18 (kumuoa au kumpatia ujauzito)
@Jambotv_ Upo saihi kabisa na huo ndio msimamo wa kisheria na ndio msimamo wangu kadri ninavyoielewa sheria ya nchi hii.
1. Awe chini ya umri wa miaka 18 (ubakaji)
2. Awe zaidi ya miaka 18 (kumuoa au kumpatia ujauzito)
@hamzaalbhanj@CloudsMediaLive Kapata pata sio mbaya. Lakini kubwa hapa ni funzo kwa media na watu wanaopenda kuchukulia vitu poa.
Kapata 10M
7% interests at court rate
Costs (gharama za case)
Standing ovation for my own brother Advocate @MakoreFr for an unprecedented achievement affording the Ndugu Abiria an award of 150M. I celebrate his career success because this case will undoubtedly create exceeding public awareness on the use of people's images in Tanzania.