Vijana Wengi Wanapitia Vipindi Vigumu Vya Msongo Wa Mawazo Na Mahangaiko Ya Nafsi Kwa Siri, Na Chanzo Si Mapenzi. Bali Wanatamani Kupata Ushindi Katika Maisha Waweze Kujinasua Katika Mnyororo Wa Umaskini. Mwenyezi MUNGU Akufanyie Wepesi Na Kuponya Kila Jeraha Lililo Ndani Yako