Wenye jezi za @ManUtd ni heri mzitumie kufutia meza angalau iwe top of the table😥.Au heri uianike nje usiku mwizi akija aione anajua shida unazopitia zinatosha anaenda Next Door! #WhyUsOleGunnar?!. @OleGunnarSolsk5 😥😥
Aliyekosa upendo utotoni atakuja kushindwa kupenda na kujali vizuri ukubwani na aliyepata upendo mzuri utotoni atakuja kushindwa kurizika na upendo atao upata ukubwani kwa sababu hauwezi kufika hata 30% ya upendo wa kupendwa na wazazi utotoni....mtego wa upendo @MalleJr01
Humans realize that through your success you are a bridge to others, Learn to give priority to wealth rather than wealth and money because Humanity is better than all. #UtuniBoraKulikoMali@MalleJr01