Fainali ya UEFA inapigiwa ndani ya uwanja huu uliopewa jina la legend wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hungary yaani Ferenc Puskás. Unabeba watu 68,000, ndani una makumbusho, bar, hotel, supermarkets, mahala wanapoketi viongozi wa juu nakadhalika. Kila la heri kwa Arsenal.
#TajiriLaKihaya
Tunaomba Wana Arsenal Tuliweke hili Sawa!
Sisi BADO tunasherehekea UBINGWA wa EPL… Hata tamasha zote zilizoandaliwa leo na Kesho ni Kwa ajili hio…
UEFA haikua kwenye malengo yetu msimu huu…. Hii mechi nkama Bonanza ya kusherehekea Ubingwa wetu- Hatuna Pressure nayo kabisaaa….
Chochote kitakachotokea jioni ya leo… hayataathiri Kwa namna yoyote sherehe zetu…. Na ndio maana hata Uingereza Arsenal wameshatoa Route la Parade letu la Kesho pale LONDON- with or without UEFA!
Ikitokea tukachukua kombe… sherehe zitaanza upya na tutapanga tena siku nyingine ya kusherehekea kombe la UEFA…
Wenye pressure na hii fainali ni nyie Haters 😅
Huu mwaka kama Arteta hajaenda pre season na wachezaji wa academy tu ni bahati sana.
Kuna hati hati yakuanza msimu bila wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza.
Mashabiki wa Arsenal nchini Tanzania tutafanya parade la ubingwa Jumamosi. Kutakuwa na bonanza viwanja vya Posta, chakula na live performance za wasanii. Pia tutatazama fainali ya UEFA kwenye big screen. Kiingilio ni jezi yako ya Arsenal, Ila wahudumu watavaa jezi za Man United.
WelBeast, anasema nanukuu: Arsenal ishinde tu UEFA Champions League halafu mengine watuachie sisi 😭🏆
Jumatatu: Picha za ubingwa wa Premier League 📸
Jumanne: Picha za ubingwa wa Champions League 📸
Jumatano: Picha za Premier League + Champions League kwa pamoja 🔥
Alhamisi: Picha za Parade la makombe 🚌🏆
Ijumaa: Video za parade la ubingwa 🎥
Jumamosi: Picha za bed and breakfast 😭😂
Jumapili: Tunaangalia kama maadui bado wanapumua 😭
After almost seven years at this club, it’s hard to put into words what this moment means to me.
I arrived at this club when I was 18 years old. Far from home, barely speaking the language, trying to adapt to a completely new culture, new life and chasing a dream that felt so big at the time.
I didn’t know exactly what the future would hold, but I knew I wanted to give everything for this club.
We didn’t just build a team, we built a family, an identity, and something the fans could believe in again. To see this club back where it belongs is one of the proudest moments of my career.
I want to thank my family, thank everyone at the club, the staff, my teammates, and every person working behind the scenes. Most importantly, thank you to the fans. Your support, patience and love throughout these years never went unnoticed. You stayed with us through the difficult moments, and this title belongs to you as much as anyone.
This club changed my life. I will always be grateful for the privilege of wearing this shirt.
PREMIER LEAGUE CHAMPIONS 🏆