Happy Thanksgiving, Michigan! As we gather with the people we love, I’m reminded of what matters most: the future we’re building for all of our kids and the generations to come. From my family to yours, wishing you a holiday filled with love, laughter, and gratitude.
The passion of football. The magic of Tanzania. 🇹🇿✨
Proud to welcome Tanzania Tourist Board as an Official Competition Sponsor of #TotalEnergiesAFCON2027, bringing the best of both worlds together. 🤩
CAF and Tanzania Tourist Board conclude strategic partnership as TTB becomes an Official Sponsor of TotalEnergies CAF AFCON PAMOJA 2027
https://t.co/O7Vt8HXKHQ
Hii AFCON Tanzania ndo Nchi ambayo nadhani ilijiandaa kuliko mtu yeyote! On the other news Tanzania inaleta a newly policy kuelekea AFCON inaitwa “Ticket-as-a Visa” ili kurahisisha mobility ya watu kuja. Na most probably OPENING Ceremony itapigwa pale FUMBA SPORT CITY!
@KennedyMmari Shukran sana KENNENDY na Mwita @Mwitah_tz mmekuwa na ufafanuzi mzuri na wa kielimu, majibu fashaha kwenye muktadha husika bila ya kukurupuka wala kuendeshwa na hisia.
Kesho ya Afrika inategemea afya bora na ustawi wa watu wake. Nikiwa nchini Ethiopia, nimeungana na viongozi na wadau mbalimbali katika Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), ambako tumezindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.
Mpango huo unalenga kufikia malengo ya Sifuri Tatu ifikapo mwaka 2030: kuhakikisha wajawazito wote wanajifungulia katika vituo vya afya, kutokomeza vifo vya uzazi na kuhakikisha kila mtoto anapata chanjo. Mafanikio yake yanahitaji ushiriki wa Serikali, sekta binafsi na wananchi wote kupitia kaulimbiu yetu, “Jiongeze Tuwavushe Salama.”
Nikiwa Kinara wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, ninawapongeza viongozi na wadau wote kwa juhudi zinazofanyika na kuwasihi kuendeleza ushirikiano ili kufanikisha malengo ya Sifuri Tatu ifikapo mwaka 2030.
I’m delighted to meet Foreign Minister @HonMahmoudKombo today in Oslo. We discussed cooperation between Norway and Tanzania in trade, investment, energy and climate, as well as the importance of safeguarding democratic institutions and human rights. 🇳🇴🤝🇹🇿
Amani, utulivu na umoja ni msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Ni kwa muktadha huo leo nikifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro nimelipongeza Jeshi hilo kwa kazi kubwa ya kudumisha amani na utulivu, pamoja na kuhakikisha nchi yetu inaendelea kuwa salama.
Licha ya kazi hiyo nzuri wanayofanya, ni muhimu kutambua kuwa wapo baadhi ya askari na maafisa wanaochafua taswira ya Jeshi letu. Nimeelekeza wahusika hao wawajibishwe kwa mujibu wa taratibu na sheria. Aidha, nimewasisitiza kutopuuza taarifa yoyote inayohusu usalama na kuimarisha ushirikiano na wananchi katika kubaini na kufuatilia viashiria vya uvunjifu wa amani.
Ahadi yangu kwenu ni kuwa Serikali itaendelea kuboresha maslahi yenu kadiri itakavyowezekana. Nanyi ninawasihi muendelee kutekeleza majukumu yenu kwa weledi, ari na uzalendo, ili kwa pamoja tutimize azma ya kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu: “Usalama Endelevu ni Msingi wa Dira ya Taifa 2050.”
Katika azma ya kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, pamoja na kujenga uelewa na uamuzi wa pamoja kuhusu masuala ya nchi yetu, leo nimekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tumekuwa na mazungumzo yenye tija kuhusu namna bora ya kusonga mbele katika mchakato wa Maridhiano na hatimaye Marekebisho ya Katiba, kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa letu.
@Salym@stevena9z Kiukweli kabisa TANGU WEWE NA ZUHURA mtoke sijawahi kupata hamu ya kutazama tena BBC, jambo la ajabu kuna watu mpaka leo wanaweka picha zenu huko YouTube kuvutia watazamaji.
Mungu awabariki mrudi kwao sio mtumwa tena kuanzisha kinachorejesha kwa jamii.
Africa is Ready for a new era for Maternal, Newborn, Child and Adolescent Health.
On 23 November 2026, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan (@SuluhuSamia), President of the United Republic of Tanzania and @_AfricanUnion Champion for Maternal and Child Health will join @AfricaCDC in Addis Ababa at #CPHIA2026 to officially launch the AU Champion’s Roadmap for Reproductive, Maternal, Newborn, Child and Adolescent Health, an ambitious blueprint for transforming the future of Women, Newborns, Children and Adolescents across Africa.
This Roadmap sets out a clear plan to achieve the “Three Zeros”:
1️⃣ Zero Home Delivery
2️⃣ Zero preventable maternal and newborn deaths
3️⃣ Zero unvaccinated children
With strong leadership, smart investments and joint action, we are working towards an Africa where every woman can safely give birth, every newborn gets a healthy start, and every child has the chance to grow up healthy.
#AfricaReady #ThreeZeroes #RMNCAH #CPHIA2026
Trump will REMAIN President, but what he CAN'T do now:
1. *Can't pass any law:*
Needs Parliament. With Democrats at 90, all his bills will be blocked.
2. *Can't get money:*
Parliament controls the budget. No funding for his MAGA projects, Wall etc.
3. *Faces Impeachment Risk:* Democrats can start investigations and even move impeachment.
4. *Can't appoint Judges/Officials freely:* Senate will block his picks.
5. *Can't do big foreign deals:*
Trade deals, war funding needs Parliament nod.
In short: He will stay in the White House, sign Executive Orders, but Parliament and Courts can overturn them.
He becomes a *Lame Duck President* - President in name, powerless in reality.
#USMidterms
Tonight, the American people sent a clear message — they want a politics that brings people together rather than divides them, and leaders who offer concrete solutions to the challenges they face.
These results were only possible because outstanding candidates stepped forward in every region of the country — including in areas once considered long shots. They came from different backgrounds and represented a range of political perspectives, but were united by shared values, a belief in public service, and a commitment to putting the people of their districts and states first.
We also owe a debt of gratitude to the thousands of election officials and volunteers from both parties who helped ensure a smooth election and carried out one of the most essential functions of our democracy.
While this administration has another two years in office, our job now is to roll up our sleeves, make changes wherever we have the power to do so, prevent further damage, and lay the groundwork for the future.