@nuru_yumyum Mwanaume hanaga mwanamke ambae sio wa level yake,...ni confidence tu.
Hao hao mnaowaita wa level hizo mnazodhani wanapigwa mnyanya hata na shambaboy.
@prezz_dar84517@FKihamu Mwanamke anabadilisha mahitaji pindi akiwa ndoani,na huwa ang'ang'anii hivi hivi umuoe hasa akiwa mchaga(wanajua kunusa mafanikio sana).
@assengajrr Ubongo ukifika saa kumi asubuhi sijui unapitia kitu gani,hata mimi wakati nasoma nikiamka saa 10 asubihi nasoma na naelewa kuliko kusoma mchana.