OUD Luxury lotion inapatikana katika ujazo tofauti hadi ml 400. Wasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 ujipatie yako sasa! #SisiNiMamujee
Shampoo yetu ya pakiti ina ujazo wa kutosha kwa muosho mmoja na hupatikana kwa bei bomba. Kwa mahitaji ya kila siku, bidhaa hii ni pendekezo bora. #SisiNiMamujee
Ni jukumu letu kuzilinda afya zetu kwa kuhakikisha usafi wa maeneo tunayoyagusa mara kwa mara iwe majumbani au maofisini. Bidhaa yetu ya Septol Surface Sanitizer ni maalumu kwa kukulinda dhidi ya vijidudu hatari visivyoonekana. #SisiNiMamujee
Zipe nywele zako matunzo yakustahili na mafuta yetu mapya ya Shea & Cocoa Butter yenye virutubisho vya cocoa kwa afya ya nywele na ukuaji endelevu. Kujipatia bidhaa hii na nyingine nyingi, wasiliana nasi kupitia +255 746 348 242. #SisiNiMamujee
Je umeshajaribu Oud Luxury Petroleum Jelly yetu? Hii bidhaa sio yakukosa!!! Jipatie sasa kwa kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 . #SisiNiMamujee
Je, unataka kujua wapi unaweza pata bidhaa zetu au jinsi ya kuwa wakala wetu? Wasiliana nasi kwa urahisi kabisa kupitia Whatsapp +255 746 348 242 #SisiniMamujee
Matunzo yako ya ngozi huenda sambamba na bidhaa utumiazo. Gliserini yetu mpya zina manukato murua na ni mahususi kwa ngozi nyororo yenye muonekano wa kuvutia. π₯Kujipatia bidhaa hizi na nyingine nyingi, wasiliana nasi kupitia +255 746 348 242. #SisiNiMamujee
Mafuta ya Young & Only Champion ni maalum kwa mwanaume anaeitunza ngozi yake. Jipatie yako sasa kwa kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 #SisiNiMamujee
Mvuto wa nywele upo katika matunzo. Kirutubisho kilichomo kwenye Mafuta yetu ya nywele ya Msusi Murua kinachochoea unyevunyevu hakitaruhusu nywele zako kuwa kavu na kudhoofu. #SisiNiMamujee
Ndio, mafuta yetu ya Young & Only Anti dandruff ni kiboko ya miwasho jipatie yako sasa kwa kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 #SisiNiMamujee
Matunzo ya nywele huwa na changamoto hususani linapokuja tatizo la nywele kukatika.
Ili kuzuia kukatika kwa nywele, hakikisha unachana nywele zako taratibuna kwa nywele ngumu basi ziloweshe na kupaka mafuta kabla ya kuzichana. #SisiNiMamujee
Losheni yetu ya Oud Luxury, siri ya uzuri, ni mafuta yenye manukato murua ya Oud ni mahususi kwa ngozi nyororo yenye muonekano wa kuvutia. Kujipatia bidhaa hii na nyingine nyingi, wasiliana nasi kupitia +255 746 348 242. #SisiNiMamujee
Mafuta ya Young & Only Champion ni maalum kwa mwanaume anaeitunza ngozi yake. Jipatie yako sasa kwa kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255 746 348 242 #SisiNiMamujee
Tumekuletea bidhaa zenye kiwango cha kuaminika kwa matunzo ya nywele zako. Jipatie shampoo zetu pamoja na jeli ambazo ni mahususi kwa matunzo ya nywele kuanzia kuosha hadi kuchana. #SisiNiMamujee