Betting inazidi kunifilisi!!🥹
Nime-Give up world cup.
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Bora nibakishe mtaji ningojee EPL.
Nahamia FOREX kwa sasa,
nimeona inalipa saanaa!!
Watu wanapiga sana hela kule.
Kwa sasa natafuta mentor mzuri wa FOREX nianze darasa.
Naomba please mentor yoyote mzuri wa fx kama unamjua nicheki DM.
Kutoka Jangwani Kariakoo, hadi Atlanta, Georgia USA. Mtu aliyekuwa anatangazwa na sauti ya radi ya Mpenja leo anatajwa na Peter Drury. Fiston Mayele amefunga kwenye mashindano makubwa ya dunia na ametetema akiwa USA. Afrika imeweka historia, timu 9 kati ya 10 zimefuzu 32 bora.
Hakusoma Nursery alianza darasa la kwanza moja kwa moja, O-level akachaguliwa Kibaha, yeye akaenda Maua Seminary akawa TO. A-level akaenda Pugu akawa TO. UDSM pia akawa Best Student. Martin Chegere ana miaka 39 anafundisha UDSM na amekuwa miongo mwa Maprofesa vijana wachache TZ.