Lakini Kenya hua a very funny country. Educative YouTube channels ziko na followers 1k lakini ufala ya Ile jamaa anaitwa Pluto iko na more than 1million followers na huyu mwingine anaitwa Obinna.yani people want to know who is fucking who more than why bei ya unga inapanda daily.
I would like to know how a boxers hand feels like the after a fight. Jana kuna mtu alileta jokes nkapiga yeye ngumi moja. Now I cannot lift anything, wrist hurts as hell
Tungekuwa ile enzi za Roman Empire na mtu apate idea ya 100 men vs One Silverblack gorilla. Mechi ingekuwa inaandaliwa sahii. Slaves wangekujiwa Africa kuentertain Wazungu.