Kwa mazishi yako your friends from Nairobi wataingia na Sunglasses,alafu wamebebana na Chupa za Keringet na ndani wamejaza Gordons,after confirming from villagers that hakuna Nyumba umejenga watakuwa wanarusha mchanga wakisema…“na venye alikuwa anapenda anasa kumbe hana kitu”
@juacaliGenge
kwa room yangu nimebandika picha zako kwa ukuta
nimepewa madawa kadhaa na mganga za kuvuta
hukumbuki juzi kwa saloon ukisukwa
nywele zako kwa mfuko kila siku nazinusa
nguo ukizianika tu hivi kwa kamba mi nayo kwa nyumba
bra yako ilipotea hujui ni wapi