Nauza Tanga mjini free delivery bei poa sana mzigo ndo umeingia Leo
Piece MOJA bei ya kesho mpka saa 4 asubuhi n 10000 (meter 4 kwa 4) baada ya hapo n 30,000..karibuni
@TunduALissu Tumuombee tundulisu apimwe akili maana ata sisi wanachadema anatuchefua sasa mm siku mdude anakamatwa nilikuwepo Nilkuwa mkoa wa SONGWE wilayan mbozi ambapo ndipo alikamatwa na alikamatwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya na mahakama ilifafanua hili
Nipe kirefu cha #TFF kubadilisha muda kabla ya masaa 3 ya mechi kuanza..angalizo jibu kama umesafiri toka kibaha na ndo umefika kwa mkapa sasa ivi na ulibeba nauli tu...😂😂😂 @nikiwapili
Ebu tueleze kwa dk 5 upewe mbingu na nchi niambie n rafiki yako gani atakukomaa.😂😂😂 Mimi ningeanza na @TunduALissu simpendi uyu mdingi..ningempa uraisi wa Afrika tu..