Nashauri Bank na TAASISI zote za kifedha ziruhusu wale wenye walembo wakali wapewe MKOPO wa pesa za kutosha ili waweze kumenteni ulembo wa walimbwende wetu BONGO!!!
#B👁️DYA MaN
#NUKUU "Inaweza ikawa jamii inakupa heshima na ukubwa ila mimi nadhani unastahli zaidi, kikitoka kizazi cha Kiba na Simba wewe ndiyo mfalme, Respect" - Ameandika msanii Marioo kuhusu anavyomchukulia @Aslayisihaka
Like if you feel this ❤️
In life we hit all kinds of roadblocks, our plans don’t go exactly as we want. It might be a business idea, or our new workout routine. It might be changing our habits, the way we think about ourselves. So here is a bit of encouragement for you!
It is okay to encounter many defeats but remember that we must not be defeated!
Always try to embrace the spirit of positive thinking and sheer determination 💪
PIGANA,KATAA,GALAGALA,ANDAMANA KAMA UNATAKA
Ila ukweli ni kwamba wanaume ndio chanzo kikuu cha wanawake wao ku cheat, sitaki kuelezea sana kwa undani ila ukiona mwanamke wako kabadilika tatizo sio yeye tatizo ni wewe, jichunguze, somewhere something is wrong
Prove me wrong