Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
🔥🔥KATORO IMEITIKA NA HECHE YUPO👊🏽‼️
Katoro imefurika na ninamwona brother @HecheJohn
Watanzania WAMECHOKA na wako tayari kwa mabadiliko! Hawaombi wanadai kwa vitendo
#TutaelewanaTu
Imagine being us. Hapa ni Katoro – Geita. Hapa ni mkutano wa kwanza wa oparesheni #KatibaMpyaFreeTunduLissu. Wananchi wa Katoro wamefurika kwa wingi sana katika viwanja vya Satelite kusikiliza nondo za viongozi wa CHADEMA. Kituo kinachofuata ni Kahama – Shinyanga. #PeoplesPower
"Pamoja na zuio haramu dhidi ya Chadema kuondolewa bado ofisi ya Msajili inatafuta njia za kufanya shughuli za Chadema zisimamishwe. Baada ya kikao cha Kamati Kuu tulichokaa tarehe 28 na 29 Aprili 2026 na matamko ya Kamati Kuu tuliyotoa tarehe 2 na 5 Mei 2026 kwa umma juu ya masuala mbalimbali, tumeandikiwa barua na Ofisi ya Msajili ya kutakiwa kujieleza." Mhe. @jjmnyika
Mzee Joseph Sinde Warioba,
Makamu wa Rais wa Tanzania
Waziri Mkuu wa Tanzania
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania
Wakili Mahakama Kuu Tanzania
I wasn't familiar with your game, grandpa. Take a bow. Watu wa mkoa wa Mara, TUNAJIVUNIA. 👏
#EnforcedDisappearances#Tanzania
Nicodemus Julius Loyore was abducted by plainclothes armed men who identified as police in Dar es Salaam
Nicodemus took part in MO29 and has been ciritcial of @SuluhuSamia murderous cabal
This is why we say #SamiaMustGo and her cabal
Cc @WGEID @OHCHR_EARO @UNHumanRights@AmnestyEARO@hrw@Europarl_EN@SenateForeign@SFRCdems@StateDRL@FCDOGovUK
Jeshi la Polisi limemteka Nicodemus Julius Loyore jana akiwa ofisini kwake, Walifika Polisi waliovaa kiraia wakajitamburisha kisha wakamchukua na kuondoka nae maeneo ya Mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.
@tanpol acheni kuteka! Mnachofanya ni uchochezi!
#D25 #J1