Akina Who are You wameanza kimyakimya kunyooka na wauaji✊🏽
Wameanza na mastermind mwenyewe - haamini kapigwa pini ya kutembelea nchi yao!
Watafuata na wengine ila hii sasa itaenda na wakubwa siyo hawa mnaowatumatuma!
Mmeshaambiwa acheni kutuwinda, kututeka, kutuua na kutuumiza
Mmeambiwa kuwepo na uwajibikaji huru na haki - mnaleta sinema za kitoto!
Dully teja ajipange - nasikia Dubai kule nako si kama zamani kuingia na kutoka - sijui vipi - ila sehemu salama kwa sasa kwao ni Oman!
Mjipange!
#TutaelewanaTu #JusticeForMO29
@King_davd_ii@bajabiri Zile kopo za mo energy zimejazana huko barabarani ni hasara ile? Kila baada ya hatua tano lazima uone kopo la Mo energy, bila matangazo angetoboa???
@1ed3d0a4dd424bf@SadickTusia Usi wa-underestimate hawa raia, kuna aliyewahi tambulishwa kwa mume kama kaka wa familia, wanawasiliana fresh tu, then ikawa antoka Dom kuja Dar kikazi apewe hifadhi kwa siku chache, hasbui wanatoka wote(kaka na mume), akimdrop mjin, kaka feki anakula chuma kurudi home kuichapa
@maipambomteta@Adventure_36 Club inamtangazia tu biashara zake, Haiwezi kujua imemuingizia kiasi gani, na matajiri huwa hawaziaemi faida zao hadharani(TRA wako live), narudia tena HAKUNA TAJIRI MKUBWA NAMNA YA MO, AWEKEZE PASIPO NA FAIDA ...