Zamani ukiwa peke yako njiani giza kali halafu ukamuona binadamu mwenzako anakuja, Unashukuru.
Ila siku hizi upo njiani giza kali halafu ukamuona binadamu mwenzako anakuja kwambali na wewe huku unaanza kujiandaa kwa lolote litakalo tokea.
Mambo yanabadilika kwa kasi sana.
Kama Una pesa isiyo ya mawazo;
1. Fungua shule
2. Uza internet
3. Logistics
Kama Una pesa ya mawazo;
1. Fungua Kampuni ya kuuza maji
2. Uza chakula
3. Uza mazao kwa serikali
Mtaalamu, nipe mawazo 3 ya nguvu tunayoweza fanyia kazi hapa Bongo tukatoboa
Wanafunzi wakienda Mbuga za wanyama!! Na kuona Sokwe!!
American: wooow! That Gorilla ๐ฆ has very powerful and it look cut
Bongo; oya oya juma muone Mjomba wako..๐ ๐ซต๐พ
Unakuta kwenye nyumba moja mnakaa wapangaji 3/4 labda na kila mtu ana WiFi yake. Kwanini msichangie mkalipia moja tu mka share kupunguza gharama za maisha? ๐
Watu watakapokuheshimu nawe waheshimu na wasipokuheshimu wewe waheshimu tu maana sio sahihi kuruhusu ubovu wa tabia zao ukaathiri usalama wa malezi yako..!
Good morning X Familia ๐ซต๐พ
Mara ya mwisho Man United kuwa mabingwa EPL;
1. Jakaya alikuwa Rais
2. TikTok haikuwepo duniani
3. iPhone iliyokuwepo ni 5, leo kuna 17
4. Mandela, Mugabe, Fidel Castro walikuwa hai
5. USD 1 ilikuwa sawa na Tsh 1600, leo ni 2600+
6. Mwanafunzi wa Form 2 alikuwa bado hajazaliwa
Kumbe ukiwa mwalimu hutakiwi kutoka shule mpaka saa 10 jioni?
Yani kipindi chako cha mwisho ni saa 4 asubuhi
alafu ubaki unalala lala staff kama mamba.....aaah
mimi nimetoka bana nitalala gheto ๐