Kila Binadam anahitaji mtu ambae anaweza kumsikia hata kabla hajaongea...
Unahitaji mtu wa kukuambia UNAWEZA hata kama Dunia nzima imesema HUWEZI...
โ๐ฝ๐ถ๐พโโ๏ธ
G.morn watu wangu wa nguvu ubuyu uko tayar ubuyu wetu ni mlaini,mtamu na hauchoshi mdomoni ๐Karibu uweke order 0745457220 tunapatikana Arusha kwa morombo
Package inaanzia 1000
Robo kg 2000
Nusu kg 4000
Kilo 1๐8000
Sado 25000
Ndoo ndogo 52,000 Wa Mikoani ๐
Guys mambo Vipi Asanteni Sana kwa support yenu mnayonipa napata Maswali mengi Sana kuhusu kilimo/Ufugaji, Dm ni nyingi mno lakini najitahidi kumjibu kila mtu,Nitaandaa utaratibu mzurii ili tuweze kupeana Elimu/uzoefu/Changamoto na ushauri kuhusu Kilimo na ufugaji, Asanteni. ๐ฅฐ