Unaweza ukaambiwa Una wivu na player la Arsenal,Ila binafsi pia sijawahi kuona strength kubwa ya Bukayo.
Ni Average player,Ila ni zao la Arsenal ambalo wameamua kumuamini tu bila ku deal na numbers zake.
Saka kwa namna yake sioni kama tunaweza kusema kwenye jambo hili Saka hatari
Wakubwa ee, ni sawa mim nina knowledge ndogo ya football au tusema nina chuki binafsi na yule jamaa,
Em nyie niambien yule Bukayo Sako hua ni bora kwenye aspect ipi au nyie uzur wake hua mnaounea wap.
Mim nimemfatilia for years now ila naoma hamnaa mambo pale. Em nisaidien.