Ninatazama kwa makini nguvu ya AI na mitandao ya kijamii, hasa reels za Instagram na namna algorithimu zake zinavyofanya kazi. Ni kweli teknolojia imeleta manufaa makubwa, maarifa yanapatikana kwa urahisi, mawasiliano ni mepesi, na watu wanaweza kujifunza mambo mengi kwa muda mfupi. Hata hivyo, pamoja na faida hizo, kuna athari ambazo hazionekani kirahisi lakini ni za kina sana katika familia na ndoa. Leo hii, watu wengi wanategemea mitandao ya kijamii kama chanzo kikuu cha ushauri kuhusu malezi, mahusiano na ndoa. Tatizo ni kwamba algorithimu hazilengi kukuza hekima, zinakusukumia zaidi kile unachopenda kusikia au kile kinachochochea hisia zako. Ukianza kutazama maudhui ya kulaumu au kujitetea, utaendelea kuonyeshwa hayo hayo. Polepole, mtu anajikuta akiishi ndani ya mtazamo mmoja tu, bila kujitathmini au kusikiliza upande mwingine.
Kwa namna hii, maadili muhimu kama uvumilivu, heshima, adabu na mazungumzo ya ana kwa ana vinaanza kufifia katika maisha halisi. Migogoro midogo inakuwa mikubwa kwa sababu kila mmoja anapata uthibitisho wa mtazamo wake mtandaoni badala ya kutafuta suluhu ndani ya familia. Hili ni tatizo kubwa, lakini si rahisi kuliona isipokuwa uwe na mazoea ya kufikiri kwa kina na kuhoji unachokula kila siku kupitia skrini. Teknolojia si adui , tatizo ni pale inapochukua nafasi ya busara, maadili na mwongozo wa kweli katika maisha na familia.
Usidanganyike na wingi wa maombi,sala na kufunga.
Kipimo cha kweli cha imani si maneno yako mbele za Mungu, bali matendo yako kwa watu. Unawezaje kumpenda Mungu usiyemuona, huku ukimchukia ndugu na jamii yako? Upendo wa kweli huonekana katika huruma, heshima na matendo mema, hapo ndipo roho yako inajidhihirisha mbele za Mungu. Kufunga na kusali kusiko tafuta upendo,haki, wema,uadilifu na huruma ni mgomo wa kula.
Very sad to hear that Dr. Kizza Besigye's health has continued to deteriorate while in detention, having been denied access to proper medical care. We stand fully in solidarity with him and pray for his recovery. Museveni and his criminal regime must never get away with all the suffering they have caused to our nation.
#FreeUgandaNow
OKTOBA 29 /2025 YALIKUWA NI MAUWAJI DHIDI YA RAIA YALIYOPANGWA NA KURATIBIWA SIYO KUDHIBITI UHALIFU UNAHITAJIKA UCHUNGUZI WA KIMATAIFA.
Katika hali yeyote katika Sheria za Ndani na zile za Kimataifa hakuna ruhusa kutumia nguvu zilizopitiliza dhidi ya Raia au watuhumiwa.
Hata tukisema tulitumka nguvu stahiki na halali kuwauwa hata watoto wadogo na akina mama waliokuwa majumbani mwao swali linalokuja nisheria gani tulizotumia kuficha Miili ya hawa tunaodai kuwaua kihalali? kwanini tulifoji vyeti vyao vya vifo vya baadhi ya wahanga? kwanini tulienda Mahospitalini kuzuia matibabu kwa majeruhi?
Ni sheria gani inayoruhusu kuteka na kupoteza watu? Pole pole na Mdude Mpaluka Nyagali wamefanya kosa gani kutendewa unyama ule? Soka na wenzake? Ben Saanane? Je wametekwa kuwapoteza ili kujilinda au sababu za kiusalama au nao wametekwa na kupotezwa na majeshi ya kigeni?
Hatutanyamaza mpaka haki itendeke. JIULIZE NA MIMI NIJIULIZE ILI MWISHO TUULIZANE.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA LETU.
BAK MWABUKUSI
Nayapost haya maswali hapa!
Ila kiukweli Hatuna Serikali!!!!
We can't say we have government while wanafanya watakavyo wao na sio kwa manufaa ya raia.
Video kwa Comments 👇
Unachangisha BILIONI 100 ili ukashindane na vikaragosi vyako.
Vikaragosi ni ACT WAZALENDO ambao tunajua tangu mwanzo historia yake na aina ya wagombea wao waliowahi kugombea ngazi ya uraisi miaka kadhaa iliyopita.
Vikaragosi ni CHAUMMA chama ambacho kimeibuka kutoka mavumbini gafla kwa nguvu ya wale walioshindwa kuvumilia nguvu ya mabadiliko kutoka CHADEMA. Watu hao wamekula hela ya serikali kuunda chama shikizi ili kuziba nafasi ya CHADEMA.
VIKARAGOSI ni vyama 14 ambavyo miaka yote minne vilikuwa vikifanya press za kumsifia SAMIA.
Hawa ndio watu ambao matajiri waliungana kuchanga mipesa ili IDI AMINI MAMA akashindane nao kwenye uchaguzi mkuu. Huwezi kuwa na akili timamu ukiona hili lipo sawa.
TUTAKUWEPO🫵😎
"Hata siku moja hupungukiwi kwa kusaidia, unachotoa ni kile ambacho unaweza kuishi bila kuwa nacho. Utayari na wepesi wa kutoa ulichonacho ni kielelezo cha utajiri wa nafsi yako. Unaweza kumiliki mali na usiwe tajiri. Utajiri ni nafsi si mali. " ~Togolani Mavura.