Kumbe vijiwe vya Bodaboda Kuna kiingilio kabla ujawa mwanachama wao..?
Kuna sehemu nimepita nikaongea na Mwenyekiti wao anasema Ili uwe mwanachama wao kiingilio ni shilingi laki 3 nikashangaa akasema "unashangaa nini kijana wakati pale magufuli stand ni laki 8..๐๐ฟ