@MsigwaPeter@MsigwaPeter, who gave this guy to 1. Assemble these mambwa mwitu, 2. Dismantle the illegal forces? I think we are playing with fire. These people should have never been allowed this publicitรฉ
@MariaSTsehai Tujifunze kupangilia points ili tueleweke. Tuna matatizo ya kutoka kwenye mada au kurudia rudia. Kutumia dakika moja but on point sio weakness.
@YerickoNyerereT Who are you bro? Jitambue kwanza. You are illusioned. Haueleweki. You and your cronies are the worst thing kwa watanzania. I hope bei yenu ni nzuri sana. YOU have f****d your kids lives.
@VitusNkuna Sijasikia mkisema udhalilishaji uliotokea kwa wanaharakati recently. Au yule hakuwa mwanamke? Sijaona chochote kibaya kwenye hotuba ya Heche. Ukiambiwa wewe ni mfanyakazi wa ndani au mama wa nyumbani, huo ndio ukweli au mlitaka aseme Suzan alikuwa 'House Manager'? Stop hiding
@kasugugu_@godbless_lema Tuna kazi ndefu sana kufungua watu wenye mawazo kama yako. If you don't see any problem kwenye hili, regardless of your affiliations, basi kazi ipo
@MsigwaGerson Haki, haki, haki @MsigwaGerson. It is so sad kuona nchi inapoelekea na nyie kushabikia. But tuendelee, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. I have never experienced wakati kama huu, hypocrisy is on another level
@Skinny36479503 @Julius_Mwita200 @ChademaTz This proves u have no clue of what people are fighting for. Umejikita kwenye uchaguzi ambao tayari mshindi yupo mezani. Tatizo la TZ kwa sasa ni wasomi wengi kuwanyima wajinga elimu ya kujitambua. Maadui sio ujinga, umasikini na maradhi, tatizo ni wasomi, uchawa na ubinafsi.
@Jambotv_ Sidhani kama ni muhimu kumuita majina ya kumkebehi au kumtukana. Mchango wake umemuonyesha jinsi ujinga, njaa, hypocrisy, umaskini, uchawa vilivyokuwa hatari kwa Tanzania ya kesho. Swali la kujiuliza, kama anayasema haya yote, anatuaminisha kuwa all this time yeye alikuwa mamluki
@MariaSTsehai Yaani Wamasai wanadanganywa kirahisi hivyo? Tume kuchunguza nini wakati Serikali yake ndiyo imewafikisha hapo? Kweli itatuchukua muda sana kutoka tulipo
@ManUtd.. Where is the organisation? If you know you have injuries, why not make yourself difficult to beat? The basics, the basics. It is really sad to be a United fan. The Manager should be lifting this team up and organize them, frustrating to see them play like this
@ManUtd This is really bad. When I make mistakes at my job, I get into trouble and can even lose my job. Why players don't have any passion and play for the badge? It is really sad to explain to my kids that this is the most famous club in the world but the players play like this