@Sirjeff_D Pesa ya mkopo 80M ukaweke kwenye volatile market ambayo haina regulator leo BTC ni $36,000 lakini umesahau kama mwezi 4 juzi tu BTC ilikuwa $64,000. imagine walionunua mwezi wa nne kwa pesa ya mkopo kama mawazo yako leo wako kwenye hali gani? Kingine where do you get 100+M?