@BuffaH65 Ni waongo tu hao..Kama kweli anatongozwa na wanaume wenye pesa zao kuliko wewe kwa nini haondoki? Anang'ang'ania nini hapo kwako?? Ukiona hivyo ujue wewe ndie Mwanaume kuliko hao wengine. Kama kweli hao wengine ni zaidi yako - huyo angeondoka kimya kimya.Anakutishia nyau tu..
@ayubu_madenge Sasa sisi si bado tunasisitiza kwenye haki za binadamu na utawala wa sheria???? Haki za binadamu za wanaume kulana kwa wanaume na wanawake kuoana wenyewe kwa wenyewe.