๐จSIMBA mpaka sasa hawajafanikiwa kuondoka uwanjani taarifa kutoka vyanzo vyangu ni kuwa wanafanyiwa vurugu kubwa sana, Mashabiki wamewatupia makopo huku pia Aishi Manula amepigwa na Police akiwa jukwaani.
Mpaka sasa wanatazama namna ya kutoka uwanjani huku pia Refa akipigwa na Wachezaji wa Al Ahli Tripoli.