@kigogo2014 Kigogo maliza tofauti yako na chadema ,,
Chadema pamoja na wewe mnaweza sitiri taifa
Utofauti wenu unatoa mwanya katika swala nzima la kujadili maswala ya jamii,siasa hata uchumi
Turudi nyuma tujadilu siasa ,jamii,na siasa
Tuepuke kujadili chadema vs kigogo
@airtel_tanzania Yaan hata ukiwatukana watakijibu ahsanté mteja 🤣🤣🤣 kwakusiliana nasi
Biashara ngumu
Ila tupunguzee ukali wa maneno maana Hawa jamaa Cjui no system inajibu wapo very kind ila hudum zao mm nilizikimbia zaman🤔🤔
@eastafricatv@SuluhuSamia@ITVTANZANIA @RadioOneStereo Mwenye ajira anaajiriwa Tena wasio na ajira wasubiri wajiajiri Kwanza.
Hii sijui imekaaje kitaalamu
@Champagne24_ Halotel wanabando nafuu sanaaa
Mfano mega bando 1GB ,100 sms,10min
Kwa weekly
Na pia ukijiunga kabla ya kifurushi ya awali kwisha wanapostepond tareh ya kifufurushi cha awali kilichobakia iwe dk sms or mb