"kujenga ni mchakato mrefu Sana na mzito Ila kubomoa ulichokijenga ni kitendo cha sec 0 ama 1 tu, ukikosea tafakari na uendelee kujenga ili usibomoe boma lako kizembe"
Life iko na events na kama mwanadamu unatakiwa kupokea kilaa Aina ya nyakati..... Huzuni na furaha zaidi, maumivu na faraja kumbuka mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake zimehesabika
Cool acha makasiriko na watu enjoy tuu
#chia9
"yes ni independence day lakini ukisherekea jiulize upo huru kwenye maisha yako, ndani ya serikali na Familia yako upo huru??.... Je watoto wako wapo huru??
UHURU SIO NENO GENI JIJINI#
#chia9
"Mungu anasikiliza mno, ukifika mda wako wa kubarikiwa unaweza kujihisi last born lakini ni wakati wako umewadia"
Tumshukuru Mungu kwa baraka zake hakika anatenda kwa kiwango kikubwa
#chia9