@TitiNiRhumba#rhumbarepublik titi hapa sipili kuna.milk bar Fulani hapa ,,Iko tuned baya mazeee shout out to mhudumu ,,,Ako na mpesa na milk bar na radio ni maisha show rhumba republic
@Radio47_Kenya#HapaNdipo kuuliza tu nani alindanganya rais wakenya wamegawanyika infact rais ameleta national unity in form of taxing everyone including his tribesmen ,,yaani hata watu wake wanafinywa kisawasawa,,,