@NjengeYahya Mbona hamsemi kabla ya mechi ya simba na prisons uwanja ulifungiwa pia!? Kwanini mechi ya simba na prisons ilichezwa dodoma? Na uwanja ukafunguliwa baada ya hapo? Acheni kufanya kama simba habebwi na ratiba azam na yanga wamecheza juzi ligi na jana crdb confederation.