If we haven't officially met,
my name is GODFREY MASAKI,
I'm a full time entrepreneur,
Father of a beautiful daughter and
husband of an amazing Wife.
GOD FIRST.
Zaburi 118:24
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni watoto wamepatikana jana usiku maeneo ya Chanika🙏
Ahsanteni wote mlioungana nasi kusambaza ujumbe,kutafuta,kushiriki kwa maombi.Mungu ni mwema🙏Ahsanteni sana 🙏
Mshukuruni BWANA kwa maana fadhili zake ni za milele🙏
Rt🙏

Kumekucha …Zaburi 126:1
Shukrani wajumbe from kilwa lindi kwa kuniunga 🫂🫂🍲naamini mmefurahi kupata kile mlichokihitaji🙏🥰na mkeka tumewatandikia😅😅
Soup ,chai,maharghe,chapati ,viazi ,maandazi vyote vipo..Karibuni sana wapendwa wangu na MUNGU awabariki🙏
Muwe na siku njema
Heri ya siku ya Wafanyakazi 🥰🥰🥰Nawatakia heri wahangaikaji wenzangu Hakuna kukata tamaaa hata km milango yote kwa sasa imefungwa ..tengeneza mlango wako wafungulie wabishao🥰🙏...
Nipeni hzo oder za ma site wapendwa wangu🫂
RT
Iwafikie wengi🥰