Physics & Football Lover
Exploring the wonders of the universeπ | Die-hard fan of Yanga scππ Man City π, and BarΓ§aπβ€οΈ | Science by day, football by night.
Sikiliza Maombi ya mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina,
Mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kisha sikiliza alivyojibiwa!
Video kwa Comments π
βMheshimiwa Rais, sisi watu wa Kisesa TUNAKUDAI. Maeneo mengine huko wanaposema hawakudai, zile fedha zihamishe na uzilete Kisesa, kwa sababu bado tuna mipango mingi ya maendeleo katika maeneo yetuβ - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Kisesa, Simiyu.
YOU WANT TO IMPROVE YOUR HORSEPOWER ENERGY + LIBIDO...??
Hapa kuna Kegel Exercises, (video kwenye comment) Kuimarisha misuli ya uume na nyonga.
FIVE VIDEO THREAD (BOOKMARK)π§΅
Ni muda mrefu sana umepita tangu niandike THREAD hapa X; It's almost been a year now.
Mimi hua sio mbinafsi wa kutoa MADINI. Tuliza akili, chukua kalamu, notebook, na calculator.
Anguka nayoππ§΅
Mngeiita tu SAMIA FESTIVALβ¦ nadhani ingekuwa sawa tu. βSamia Serengeti Festivalβ ndio nini ?! π€π€·πΎββοΈ
Majina ya Festival huwa yanatokana na either:
β’ Unachotaka kukinadi
β’ Unachotaka kukienzi
β’ Unachotaka kukiwekea kumbukumbu
β’ Maudhui ya tukio zima
CHAGUENI MOJA, badala ya kudogosha our NATIONAL TREASURES in the name of UCHAWA WA KIONGOZI ALIYE MADARAKANI.
Kumbuka UZALENDO ni βKuipenda Nchiβ, sio βKujipendekeza kwa Viongoziβ.
Ila kama kampemi zimeanza, basi seheniβ¦ ACT tunaweza anzisha na sisi βDorothy Kilimanjaro Festivalβ na pia mumuachie Lissu, na CHADEMA nao wapige βLissu Mikumi Festivalβ. ππ€·πΎββοΈ