Naona wengi wenu mmekuja kushtuka kuhusu kesi ya wafanyabiashara wa biashara haramu ya silaha inayomhusisha Mwapinga - mi niliandika tokea mwaka jana! Hamkutilia maanani! Leo kimewalipukia madhulmat!
Mlimwona @mangekimambi anasema walituma Mexican cartel kumwinda mkajua katunga - ndo hizi connection hatari!
Tuna CRIMINALS in office!
Wametumia documents halali za TPDF kuficha biashara yao haramu na Mexican narco terrorists! Kimama na kundi lake ni wahalifu
Wakiendelea watakuja wachukuliwe ka Maduro ohoo!
Bonge walishamnyukua wengine hawataki ushahidi!
#TutaelewanaTu
‼️Kumekucha‼️
Mwigulu na watu wake walisema zile video ni AI sasa baada ya Meta kufuta ile video, nili appeal kuomba wairudishe.
Ukisoma haya majibu ya Meta wanasema nimepost hiyo video bila ruhusa ya mwenye nayo yani Mwigulu kwa mantiki hiyo wanaadmit kwamba video ya mkoromo ni halisi sio AI ila nilipaswa kuomba ruhusa kwa Mwigulu.
Kwa lugha nyepesi Mwigulu kalalamika kwamba nimepost ile video bila kuomba ridhaa yake, sasa itabidi nimuombe ruhusa then nipost tena.😂😂😂
‼️🚨IS FORMER WAGNER GROUP PROTECTING SAMIA?‼️
I have received several messages claiming that Abdul Ameir @SuluhuSamia ‘s son is protected by foreign mercernaries and some claim it is the former Wagner group
What is clear is the presence of foreign mercernaries that has persisted in the public discussion but with sketchy details
We keep our ears to the ground
#SamiaMustGo #D9Tunatoka
Umekwama kujifunza biashara ya Forex kwa sababu huna ada ya $200 kulipia mafunzo?
Nimetengeneza Course ya Fx Trading mwezi mzima
Ningeweza kukuuzia hii course kwa $199
Nimeamua iwe bure
Nafasi hii itakua wazi masaa 12 tu
Like, RT, comment "niunge"
Lazima uwe follower wangu.
✋️✌️Wazee wa betting sasahivi tunakutana huku @U_Prediction , kupata option na odds zisizo za mchongo kuna free tips kila siku na v.i.p room ya uhaiika.
.
Hakuna Fixed games wala correct score.
.
Wafuatilie sasa ili uwe miongoni mwa washindi kama sisi.
#PamojaktkUshindi✌️