@Roma_Mkatoliki baba alikufa maskin akutuachia daftari wala peni Bali alituachia maden na kashfa nyingi ukwen-------duh viva loma vivaaaaaa tumemisi michano yako ya ki arakati---------
Kupongezana #SAANAAA Kwenye Uteuzi Wa Kuwatumikia Wananchi,Kunaleta Tafsiri Ya Kuwa Kuna Maslahi Binafsi Kwa Wanaopongeza,Pia Kufurahia #SAAANAAAAA Kuteuliwa Kuwatumikia Wananchi,Kunaleta Tafsiri Ya Kwamba Kuna Fursa Binafsi Kwa Aliyeteuliwa.Tufurahie&Tupongezane Ila Sio #SAANAA