I keep telling you that the choice of wife is a business decision.
David Beckham was just another footballer. Could have ended up in the trenches like his team-mates akina Wayne Rooney or doing TV gigs like Thierry Henry.
But see his life now.
๐ Dodoma | Novemba 4, 2025
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imeteua wagombea wa nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, na nafasi za Spika na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Retail is no longer just about transactions, it's about intelligence.
Supermicro and NVIDIA deliver scalable AI solutions that help retailers boost efficiency, personalize experiences, and drive smarter decisions. See how top brands are transforming their stores with AI.
๐ Ikulu, Dodoma | Novemba 4, 2025
Uapisho wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari.
Kazi ya kuunda serikali kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania inaendelea.
โMaandamano, vurugu, uvunjifu wa amani husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yeyote yule. Niwasihi Watanzania tuchague hekima badala ya ghadhabu, busara badala ya mihemko, upendo badala ya chuki, uvumilivu badala ya vinyongo, umoja badala ya mgawanyiko na amani badala ya virugu.โ - Mheshimwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amempongeza na kumshukuru Makamu wa Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Philip Mpango kwa mchango aliyoutoa wakati wa kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha kwanza cha Awamu ya Sita.
Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa makabidhiano ya Ofisi ya Makamu wa Rais, yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Amesema kazi kubwa imefanyika katika kipindi cha kwanza cha Awamu ya Sita, ambayo ilitoa urahisi wakati wa ufanyaji kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Makamu wa Rais amesema ataendeleza jukumu la kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uwezo wake wote ili kutekeleza vema Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kuwaletea wananchi maendeleo.
Pia amemsihi, Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Philip Mpango kuendelea kutoa mchango wake pale utakapohitajika, katika utekelezaji wa sera mbalimbali za Ofisi ya Makamu wa Rais ikiwemo masuala ya uchumi wa buluu.
Kwa upande wake Makamu wa Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Philip Mpango amempongeza Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa nafasi hiyo muhimu na kumsihi kutekeleza vema majukumu ya kuwa mshauri namba moja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemsihi kutumia hekima na unyenyekevu wakati wa utekelezaji wa majukumu yake ya kuwahudumia wananchi.
Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais
Novemba 04, 2025
Ikulu โ Chamwino.
Peaceful protestors burning down petrol stations, rape incidents, looting, cutting peopleโs fingers ๐๐พ๐๐พ #Tanzania๐น๐ฟ Some with heavy foreign accent. This was no normal protest. Tanzania was attacked. I hope all security organs get into the details.