@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Ni kweli ila ninavhosema ni anatengeneza nafasi kwa staili gani? Yule ni dribbler na palmer ni passer wa hali ya juu sana palmer ni style ya kina bruno,ozil, kdb aina hii ya wachezaji england wanae mmoja tu palmer
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Ata eze pia kipindi ajaja aseno na jude pia position yake bora ni namba 8 sasahiv hii 10 ni mpya ila anaicheza vizuri pia ila ceeativty bado hana anachofikiliaga ni kujiegesha kufunga tu ila mtengenezaji alikua ni palmer na hana mpinzani zaidi ya saka
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Kweli kakaa nje karibia msimu mzima labda kitakachomsumbua kiwe kutocheza tu ila kwenye quality bado stones naona yupo juu ya maguire
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Inshu ni kwamba palmer yeye anaupekee wake ambao hakuna mchezaji yoyote wa england ambaye anao palmer ni mithiri ya kina bruno ila namb 10 wote waliobaki ni dribbler na wakimbiaji sana sio passer kama palmer
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Angalia vizuri mech za man u maguire kuna muda anakitete ata cha kutoa pasi ikafika ni hivyo tu hatufungwagi kwa makosa yake
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Mimi lewis hall na cole palmer nlitamani kuwaona sana nlitamani pia kumuona maguire kwaaababu ya ushabiki ila kiukweli nadhani amna kilichopungua kutomuita maguire pia nlitamani kumuona morgan gibbs white over rogers maana tayari eze yupo lakini uzuri rogers anacheza namb nying
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Sasa vijana tayari wapo wengi ambao hawana experienc
Unajua unaweza ukawa na talent nying lakini linapokuja swala la big stage wakashindwa kucheza sio kwasabab ni wachezaji wabaya ila tu ile hofu wanashindwa kuibeba ndomana timu nyingi lazma ziwaite big man kama german walivofany
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Game ya euro palmer zote kacheza RW game za club wc ikiwemo mechi aliyowazalilisha psg nayo alitokea RW
Palmer ni mchezaji anaeweza kucheza mechi zote vibaya lakin kwenye big stage anaamka na kua mtu mwngne uwezi mfananisha na madueke wala bowen
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Alaf bowen n mchezaji mzur kwel lakin tayar timu ina saka, rashford, gordon, morgan rogers, jude hawa wote cheza yao haitofautiani san
Waitaji player mzur kweny kutengeneza nafas kw kupig pass na sio kurun na mpira maana marunner wamejaa sana ad apo morgan gibbs white hana nafas
@Gaxnho8@George_Ambangil@Mwinshehe07 Kwaiyo kwasababu madueke sio first choice ndo umuite?
Yani madueke na palmer kwenye RW unaenda na madueke unamuacha palmer?
Alafu kweli palmer unamfatilia? Unajua kua best perfomance za palmer katokea winga wa kulia na madueke hajawai kufika iyo level kabisa toka nimjue