Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mfungwa Bw. Lista Chisoma ambaye amepata ujuzi wa kushona bidhaa mbalimbali za ngozi na vitambaa wakati akiwa gerezani, katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCT) Ukonga Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2026.
Usiwafanyie watu mabaya tu, bali pia usiwatamanie mabaya mioyoni mwako. Maana dunia ina mzungukoβunayotenda au kutamani kwa wengine, nayo hukurudia. Chagua wema kila wakati. π
Ninawatakia Watanzania wote heri ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Muungano wetu ni lulu na urithi wa kipekee tulioupokea kutoka kwa waasisi wetu. Hivyo, nasi tuna wajibu wa kuutunza, kuulinda, na kuuimarisha ili tuurithishe kwa vizazi vijavyo ukiwa salama na imara kama tulivyoupokea.
Ninatoa wito kwa Watanzania kuendelea kushirikiana, kufanya kazi kwa bidii, na kuimarisha uzalendo wetu, ili tujenge Tanzania moja, imara zaidi, yenye umoja na maendeleo jumuishi kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ubariki Muungano wetu.
Kigoma siyo mkoa wa pembezoni kama ilivyokuwa imezoeleka zamani, bali ni mkoa wa katikati unaounganisha biashara, uwekezaji na uchukuzi katika ukanda wa Ziwa Tanganyika-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
πKigoma-Tanzania
ποΈAprili 16, 2026
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitembelea na kuifariji familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Marehemu William Vangimembe Lukuvi, katika mkazi yao Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 16 Aprili 2026. Wakati wa Msiba na Mazishi ya Kiongozi huyo, Makamu wa Rais alikuwa nje ya nchi kwa ziara ya kikazi.
Africa is not the future β it is the present.
With the youngest population, vast resources, and rising ambition, the world cannot afford to ignore it.
The real question is: are we ready to unlock it? #AfricaRising
RAIS SAMIA AMUASILI MTOTO MCHANGA ALIYETELEKEZWA NZEGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo tarehe 11 Machi, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai.
Akizungumza wakati wa kumkabidhi mtoto huyo, Mkuu wa Wilaya Tukai alisema mtoto huyo aliokotwa tarehe 17 Januari, 2026 akiwa ametelekezwa katika eneo jirani na nyumba ya wageni ya Kasulu, Nzega Mjini.
Alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hizo, alishirikiana na Jeshi la Polisi kumchukua mtoto huyo na kumpeleka hospitalini kwa uchunguzi na uangalizi, huku juhudi za kumtafuta mama yake zikiendelea bila mafanikio.
Rais Dkt. Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.
βWanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,β alisema Rais Dkt. Samia.
@Wutangtz@ikulumawasliano Ufikiri wako mdgo china put deals on table kwa vile sisi wa africa we never care about contract ndo mana utamuona mchina mbaya niambie historia duniani ni wap china amewahi kuwa colonial master, alaf CCM ndo iliyokuletea maendeleo ambayo wewe umebweteka unataka ufanyiwe kila kit2