Ripoti hii ya #BBCAfricaEye itaruka pia kwa Lugha ya kiswahili na lugha zingine 10 kubwa duniani.
Inatoka siku ya JUMATATU-kwa mara ya kwanza leo ndio naona JUMATATU mbali wanangu.
REPOST 200
#TUTAKUWEPO🫵😎
Ninawatakia kheri ya Sikukuu ya Krismasi Wakristo na Watanzania wote. Mnaposafiri na kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu, tusherehekee kwa furaha na upendo.
Kuzaliwa kwa Yesu Kristo kutukumbushe upendo kwa Mwenyezi Mungu, upendo kwa kila mmoja wetu, wajibu wa kujitoa kuwasaidia wenye uhitaji, uvumilivu na unyenyekevu. Tuendelee kukumbuka wajibu wetu wa kutunza Taifa letu ili lidumu katika amani, utulivu, haki, ukweli na ustawi wa kila mmoja wetu sasa na vizazi vijavyo.
Mwenyezi Mungu awabariki nyote.

@MariaSTsehai Binafsi huwa naamini Wazanzibar huu muungano hawa utaki,Ndio maana kila kiongozi atokaye visiwani au asili ya visiwani...machafuko ni mengi sana .
KESHO MAANDAMANO #D9
Tutatoka nchi nzima kuidai nchi yetu.
Tutaandamana kwa amani tukiwa na Mabango na bendera za nchi yetu.
Jumbe zetu zinazotufanya tuandamane zinajulikana. Kila mtu aandike Sababu ya kutoka kesho hapo kwenye Comments.
REPOST 200
#D9#SiriNiNamba
#Disemba9Tunatoka
#TUTAKUWEPO🫵😎
KISASI KIMEANZA RASMI
Kaka wa Humphrey Polepole KANALI AGUSTINO POLEPOLE alitoa masaa 24 Mdogo wake arudishwe apelekwe nyumbani Segerea kwa mama yake mzazi, mpaka sasa Humphrey hajapelekwa Segerea, Agustino alisema baada ya masaa 24 atalipa kisasi ikumbukwe Augustino ni Mwanajeshi wa jeshi la NATO jeshi katili Duniani.