#TajiriLaKihaya
WAPWA wameniagiza kazi Dodoma…
Na mm nakuja sio Kwa ajili ya Marathon… Bali kupata matukio yote live 4K HD.
Ukibisha utafiti wangu Njoo na Tafiti…
Research Hupingwa na Research 💯
YouTube ni chuo kikuu cha bure, 😅 Miezi 3 nyuma nilijifunza ku-add biashara kwenye Google Location, leo tayari nimepata wateja wawili. Sasa nimehamia Google Ads. Hatua kwa hatua.
Pumzika kwa amani Mzee Akwino Pandisha. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yako yaliyojaa baraka, busara, na mafundisho mengi kwetu. Umeondoka ukiwa umetupa msingi imara wa kusimama. Nenda kwa amani, Mzee wetu. Eternal peace grant unto him, Lord.
Tunapenda kuwashukuru kwa dhati kabisa wale wote ambao nilipomleta kwenu Mzee Pandisha kwamba anaumwa na tunahitaji support yenu hamkusita kutuma Sadaka zenu, Mzee anaendelea kupata matibabu na hali yake inaimarika kidogo kidogo, maana maradhi yake ni kutokana na uzee sababu sasa hivi ana miaka 95. Pia wengine mlipiga simu kumsalimia Mzee, huu ni upendo wa hali ya juu sana na upendo huu ni ishara kwamba Mungu aliwaandaa kwa ajili ya hii huduma yetu.
_
Mungu awabariki sana ninyi pamoja na vizazi vyenu vyote na akawazidishie mara 100 mahali mlipopunguza maana mmemuwakilisha vema kwa wahitaji wake, naamini Mungu anajivunia uwepo wenu hapa Duniani sababu Yeye hawezi kushuka anawetegemea ninyi Ndio maana akasema;
_
Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema. - Mithali 19: 17
_
Kwa hiyo sehemu ya mali yako uliyotoa Kwa ajili ya huduma yetu jua umemkopesha Mungu nae atakulipa sawasawa na wema wako na vizazi vyako vitakula mema ya nchi sababu ya wema unaouwatendea wengine.
Mwanaume hakikisha kama mfuko wako unakuruhusu hukosi perfume moja wapo kati ya hizi 13
1. Lion heart
2. Hawas Fire
3. Hawas Ice
4. Magnetic
5. Azzara
6. 1 Million
7 Dolce & Gabbana
8 Creed Aventus
9. Club de nuit
10. 9 PM
11. Bleu de channel
12. Tomford Leather
13. Coctail
Ongeza nyingine kali unayoijua
#TajiriLaKihaya
Timu zangu nitakazoshangilia WorldCup.
in order;
1. ENGLAND- DECLAN RICE
2. FRANCE- WILLIAM SALIBA
3. BRAZIL - GABRIEL MAGALHAES
4.SPAIN- DAVID RAYA.
Hapa lazima moja wapo abebe Kombe!
Weka timu zako nne kwenye Comment👇🏽
Ukisoma Story ya Nabii Eliya katika Biblia baada ya kushinda vita dhidi ya karmel (1 Wafalme 19) Malkia Yazebel alimtishia kumuua😂akapata hofu kubwa akakimbilia Jangwani huko
Akiwa amechoka na kukata tamaa akamwambia Mungu “Yatosha sasa chukua Roho yangu” 😊 akiwa na uchovu mzito akalala, Malaika Bwana akamtokea na kumwambia “Amka ule maana una safari ndefu” kuna muda hata uwe umechoka kiasi gani Piga Msosi Lala mengine yatakuja tu 🚶♀️Nisikie Amen huko nyuma 🙏
💨SIMU MPYA🔥🔥🔥
🔸Honor play 10
🔸(3GB+ 64GB)
🔥220,000tsh
Delivery tunafanya mikoa yote Tanzania kwa uaminifu mkubwa sana.
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
https://t.co/nH9QB9sGyG
Nimemleta Mzee wetu Pandisha Hospital kwa ajili ya checkup na kupatiwa matibabu, tuendelee kumuombea mzee wetu apone haraka, ikiwa unatamani kushiriki baraka pamoja nasi unaweza kutuma Sadaka yako kwenye number za taasisi yetu ili mzee wetu Pandisha apate matibabu.
_
Number za kutuma Sadaka kwa ajili ya Mzee wetu Pandisha.
Mpesa Lipa Namba: #58240194
Mpesa: #0748618888
Airtel Money: #0695152598
CRDB Bank: #0133000PY6X00
Name: Mafuru Foundation.
_
Mungu awabariki sana. 🙏🏽