Nikipata wateja 20 mwezi huu wa 7 kila mteja akachukua mbao za Laki 4.
20x400,000=8,000,000
Hapa nikatoa gharama za uchakataji zote kama Million 6 na Lakin5.
8,000,000-6,500,000=1,500,000.
Hiyo 1.5M ni Faida minimumโฆ.aise Karibuni Rombo niwauzie Mbao wakali zangu.๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ
Usafirishaji wa Parcel bongo unahitaji upate jamaa mmoja mwenye mtaji mzito aliye serious awekeze mikoa karibu yote!!
kuna mabilioni kwenye hiyo biashara