Elimu bila ada imesaidia watoto wengi sana kutoka familia duni kupata fursa.
Serikali kutumia trilioni 1.3 kwenye elimu bure ni uwekezaji bora zaidi kwa vizazi vijavyo.
Kumtua mama ndoo kichwani sasa inaonekana kwa vitendo.
Takwimu zinaonyesha upatikanaji wa maji vijijini umefika 85% na mijini 91.6%.
Hii ni hatua kubwa sana kwa ustawi wa familia zetu.
Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata (Mkata Substation) kilichopo eneo la Mkata.
Mradi huu wenye thamani ya sh.bilioni 50 unatarajiwa kutoa umeme wa uhakika, kuboresha upatikanaji wa huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea shughuli za kiuchumi pindi utakapokamilika.
πππππ ππ ππππ π ππ ππππ
Serikali inatekeleza miradi 10 ya maji inayogharimu TZS trilioni 1.58.
Inatoa maji Ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa na mito mikubwa kwenda maeneo mbalimbali nchini.