Tufanye maamuzi kwa kutofuata mkumbo wala hisia, bali kwa fikra pevu na tafakuri yakinifu. Dunia ya leo inahitaji akili tulivu, si haraka ya umati.
#FikraSahihi#LeadershipMindset
"Vijana hawahitaji huruma, wanahitaji nafasi. Tuwasaidie kwa elimu, ujuzi na fursa ili wawe suluhisho la matatizo ya dunia, si wahanga wa mazingira yao. #YouthEmpowerment#FursaKwaVijana"
*“Maumivu makali zaidi hayatokani na maadui, bali yanatokana na wale uliowaamini. Usaliti kutoka kwa mtu wa karibu huvunja moyo zaidi ya pigo lolote. Lakini kupitia maumivu hayo, tunajifunza kuamini kwa busara, na kutegemea zaidi nafsi na Mungu kuliko wanadamu.”*