Kama unataka kufika unapopataka maishani lazima ukubali kukutana na magumu kushindwa si mwisho bali ni sehemu tu ya mchakato wa mafanikio
Jiandae kupambana
TUNDU LISSU: Wasiokuwa na hatia kama Mimi hawaombi msamaha. Nataka niwe very clearly kwamba haya nitakayoyasema siombi msamaha kwasababu am completely Innocent
Panda wema bila kuchoka hata kama huoni matokeo yake leo kumbuk matendo mema ni kama marashi hta baada ya chanzo chake kutoweka harufu yake nzuri huendelea kudumu na kusambaa