@George_Ambangil@nyandajr10 Wewe ndiyo mchambuzi namba moja Africa mashariki nzima, ndiye mwandishi hata ukiandika kitu kuusu football vinaeleweka your so smart bro ๐ช๐ฅ
@MickyJnr__ Sijawai ona mwandishi wa habari kama wewe yani upo kwajili ya kuisema au kuiombea Yanga mabaya too,nasiku ukiisifia unasifia kinafki too. Jaribu kujifunza kwa walio endelea au walio juu yako bro. mfano Roman Fabrizio angekuwa anatowa habari kama wewe hasinge aminia na watu